Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 392
- 896
Ngoja akina Yusuf na Daniel watakuja kutupa maana yake Ila hata Mimi naona hiyo ndoto ina maana kubwa maishani mwako
Easy wewe ni mwizi wa viatu vya watu.
Angalia sana mipango uliyonayo au ushauri unaopewa sio wako rudi kwa Mungu akupe mpango wake juu yako. Musa na Yoshua waliambiwa vua viatu vyako.. viatu ni decision
Hapo mkuu kunauwezekano mkubwa WA kupewa mamlaka kuwaongoza wenzako ila utawaongoza kwa Muda mfupi sana na mamlaka hayo atapewa mtu mwingine .Bwana akubariki
Mi sio mtaalam sana tena ila katika ulimwengu wa kiroho nyayo zako ni hatma ndo maana kuna verse kwnye bible nyayo zako kikikombolewa miguu yako itakuwa ya makomeo ya chuma na shaba yani ni nguvu ya kukombolewa maadui ndo mana kuna watu waliuana kisa kukanyaga mafuta(joking),hata huku uswazi watu hurogana kwa kuchotana unyayo Pia kumbuka kuwa tumepewa mamlaka ya kukanyaga ng'e na nyoka(yani maadui zetu)so nahisi kwa asilimia kubwa ndoto yako ni ya maono na inaashiria ushindi mkubwa dhidi ya maadui zako.Japo vita kama ni za kiroho huwa sio nyepesi wish you all the best.Ngoja wakali wa kazi waje maana ndoto ni ulimwengu mpana unaweza ukaota unapanda kumbe unashuka
Ndoto yako ina maana kubwa kiroho
@EvilSpirit katikati ubora wako [emoji1][emoji1]Huyo aliyechukua viatu vyako ndotoni ni jiwe na ndoto inamaanisha mkimpa mitano mingine mtanyang'anywa hata kile kidogo mlicho nacho
#stay awake,
#beware of jiwe,
#beware of dreams,
#stay safe
Huyo aliyechukua viatu vyako ndotoni ni jiwe na ndoto inamaanisha mkimpa mitano mingine mtanyang'anywa hata kile kidogo mlicho nacho
#stay awake,
#beware of jiwe,
#beware of dreams,
#stay safe
Kwanza Jambo la kwanza Kama imani yako sawa na Mimi, yaani mkristo, nyunyiza damu ya Yesu juu ya ndoto uliyoota, na ukatae maagano yoyote yaliyofanyika juu yako na nguvu za Giza,ninaamini utakuwa salamaAsee asante kwa ufafanuzi! Sasa nifanyaje? Maana kujua ni jambo la kwanza, cha kufanya je?
viatu hivyo vilikuwa vya kampuni gani?