Msaada wa taarifa clinical officers training centre Maswa

Mkubwa chuo kimefanya mawasiliano na wewe kwa ajili ya CONFIRMATION?
 
Joining instructions za vyuo vya afya ngazi ya cheti na diploma vya serikari zimetoka angalieni email zenu kama bado basi sio muda utatumiwa
Mkuu unachosema ni kwel maana ni wengi tunasubiri mpka saiz kmy tu yaaan na hatujui cha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…