M maslahi New Member Joined Mar 6, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Mar 6, 2014 #1 WanaJF ninaomba kwa yeyote anayefahamu soko zuri la mtama mweupe(mesaya) anisaidie kwani nina tani 130 nilizovuna mwaka jana.zipo katika hali nzuri ktk godown langu hapa Dodoma.Nitashukuru kwa msaada wako:help:
WanaJF ninaomba kwa yeyote anayefahamu soko zuri la mtama mweupe(mesaya) anisaidie kwani nina tani 130 nilizovuna mwaka jana.zipo katika hali nzuri ktk godown langu hapa Dodoma.Nitashukuru kwa msaada wako:help:
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Mar 6, 2014 #2 Bei je? ngoja nikutafutie wanunuzi hapa Dar au hata Ulaya halafu nitakujulisha muda wowote?
maleshii Member Joined Feb 26, 2014 Posts 10 Reaction score 10 Mar 6, 2014 #3 unauza bei gani kwa kilo moja?soko lipo Arusha