Wakuu,
Naomba mnisaidie software ya folder lock maana folders zangu kwenye computer zinachezewa sana na vijana, nimejaribu kudownload kwenye internet lakini kila niliyopata ni demo, nitashukuru kama nitapata ambayo ni full, OS ya computer yangu ni window 7 Ultimate, 32 bits.
Natanguliza shukrani