Pole na majukumu wakuu wote. Naomba mwenye kufahamu smart phone nzuri aina ya LG anisaidie nataka kununua moja. Ningependa kujua bei zake ,uimara, kukaa na chaji kwa model tofauti pia na upatikanaji wake kwa hapa Dar.
Natanguliza shukrani .