Msaada wa simcard cuter

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Wakuu habari za mida hii nahitaji hicho kifaa kwa ajili ya kukatia line za simu wapi na duka gani naweza kukipata kwa Bongo na kinauzwaje?
 
mi nimekata line yangu na mkasi wa kawaida ndo ikafiti kwenye galax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…