Kuna tofauti kati ya Seminary(Catholic Seminary)..
na Catholic Managed Schools..
Naona watu wanachanganya kati ya Catholic Schools na Catholic Seminary
Catholic Seminary ; hizi ni shule kubwa na ndogo ambazo lengo lake ni kuwakusanya vijana wanataka ukaa pweke useja na utawa ktk maisha yao , sambamba na hapo pia wanahimizwa sana kuishika elimu dunia na ya kiroho .
Mara nyingi shule hizo zinakuwa za Majimbo na Mashirka ya Kiroho zikiwa na itikadi za Kiroma , na Nyingine za Majimbo
Seminary ndogo ( shule ndogo za kiseminary )
Hizi zinakuwa kuanzia pre form one mpaka form six
Seminary kubwa ( major seminary )
Hizi hupokea wanafunzi wasio waseminary wadogo na waseminary wadogo wenye lengo la kuwa wakasisi
NB : ili usome Catholic Seminary lazma uwe Catholic , kuna mengi utalazimika kujitambulisha kiundani.
Catholic Manage School
Shule zinazofuata itikadi za Kiroma na hupokea wanafunzi wa dini tofauti mashuleni , ili mradi wafuate karenda na timetable za Kiroma .