INTErnet download manager has not been registered for 30 days trial period is over. tatizo ni kwamba nikianza kuregister inaniambia enter serial number lakini tatizo hizo serial namba ni zipi msaada jamani waungwana.

We acha kuhangaika na serial number ukiweka zitakubali lakini wataiblock isifanye kazi. We Tafuta IDM Latest version kisha tafuta patch yake au nenda Google Search utafute idm94fbr kazi kwako. Pia kama mdau alivyosema Free Downlod Manager ni nzuri ni kweli hata mimi niko nayo na ina uwezo wa kuDownload hata Torrent files pia kuna nyingine inaitwa GetGo downlod manager. Ila IDM kwa speed ni noma.