Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Dec 12, 2016 #1 wanabodi habri za wakati! Nomba mwenye uelewa na programs ambazo zinarekodi videos katika Desktop nimejaribu kutafuta GOOGLE nimepata moja inaitwa KAZAMA shida ya hii ni kwamba inarekodi ila sauti haitoki. Natumia LINUX MINT 17.
wanabodi habri za wakati! Nomba mwenye uelewa na programs ambazo zinarekodi videos katika Desktop nimejaribu kutafuta GOOGLE nimepata moja inaitwa KAZAMA shida ya hii ni kwamba inarekodi ila sauti haitoki. Natumia LINUX MINT 17.