Naombeni msaada kabla sijauziwa simu chini ya mnara.....kuna hiyo sim apo kwenywe picha ni SAMSUNG GALAXY NOTE 3 SM -N900 Naomba kufahamu nitajuaje kama ni original na sio fake ili niweze rizika kuichukua