Teh umesikia hizi nafasi 749 nini walofukuzwa hapo unajiandaa kisaikolojia unaanza tafuta na scales zao kabisa maana TPA hawajaajiri tangia mwaka 2016 zile post za ICT.
Kwa ushauri tu acheni hzo Habar za kuhoji salary inshort huko mshahara ni mzuri na kila staff ana usafiri na ukiona mtu Hana usafiri basi jua kwmba hatak mwenyew