kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,490
- 1,363
Mobile money kama zile za mzee wa vijisenti au kama za NMB mobile banking.Habari zenu wadau mimi ni mwanafunzi wa masters nategemea kufanya dessertation.Hivyo naomba mawazo juu ya topic nzuri ya research.
NB:Wazo lako lijikite katika masuala ya Mobile Money,sababu niko interested eneo hilo. Karibuni.
Mkuu ni vizuri zaidi ukasema unachukua mastars gani ile iwe rahisi kukusaidia, mfano katika tasnia ya elimu, sayansi, biashara, sheria, sanaa nk. zipo nyingi tuHabari zenu wadau mimi ni mwanafunzi wa masters nategemea kufanya dessertation.Hivyo naomba mawazo juu ya topic nzuri ya research.
NB:Wazo lako lijikite katika masuala ya Mobile Money,sababu niko interested eneo hilo. Karibuni.
Nachukua MBA. Finance kaka,..Mkuu ni vizuri zaidi ukasema unachukua mastars gani ile iwe rahisi kukusaidia, mfano katika tasnia ya elimu, sayansi, biashara, sheria, sanaa nk. zipo nyingi tu
Mobile Money namaanisha Mpesa,Tigo pesa and related.Mobile money kama zile za mzee wa vijisenti au kama za NMB mobile banking.
maana isije kuwa mbinu ya kuwapa wanaotorosha fedha nje.
Ahhaaa....hapo sawa.Mobile Money namaanisha Mpesa,Tigo pesa and related.
Asante kaka,...The effects of mobile money services in Tanzania financial institutions
Tumia time series data from 2005-2014
Bonge la topic kudadadeki
Asante, ..ila hii pia ni njia mojawapo mkuu.Nishagoogle ila nataka contribution zaidi....mkuu unatakiwa uongee na immediate supervisor wako m'brainstorm baadhi ya idea zinazoendana na field yenu. Na siku zote title ni kitu cha mwisho kabisa na wala sio cha msingi sana kwenye research yoyote. Cha msingi unachotakiwa kutafuta kwa sasa ni idea ambayo inascientific validity na either imejibiwa zamani sana (so wewe unataka kucheki situation ikoje kwa sasa) au imefanyika eneo tofauti na wewe ulipo (so unataka kuona situation iko vipi kwa eneo la hapa) au ni jambo jipya kabisa halijawahi kutokea.
Lastly usiwe mvivu, google key words za "Mobile money" utapata publication kadhaa zilizofanyika sehemu nyingine, then soma hata abstracts zake mbili tatu utakuwa na wakati mzuri wa kuongea sasa na supervisor wako kuwa nini unaweza kufanya.
Ukishafanya kazi yako vizuri kabisa utaiona "title yako inakuja yenyewe mbele yako"
Best regards,
Hii idea ni nzuri lakini kuwa makini usirudie research ya Mtu ..take time to search more related topicsThe effects of mobile money services in Tanzania financial institutions
Tumia time series data from 2005-2014
Bonge la topic kudadadeki
Mkuu research zote zinazofanywa zinarudiwa hakuna jipya,Kuna Dr mmoja anaitrwa safari anasema watu tayari washa_search ndo maana now inaitwa research.Hii idea ni nzuri lakini kuwa makini usirudie research ya Mtu ..take time to search more related topics
Mkuu research zote zinazofanywa zinarudiwa hakuna jipya,Kuna Dr mmoja anaitrwa safari anasema watu tayari washa_search ndo maana now inaitwa research.
Research kurudia cyo kosa kimsingi isipokuwa uje na modifications au improvement za kilichofanyika awali.Hii idea ni nzuri lakini kuwa makini usirudie research ya Mtu ..take time to search more related topics
Research kurudia cyo kosa kimsingi isipokuwa uje na modifications au improvement za kilichofanyika awali.
NB. "plagiarism" na "content copying" ni kosa kisheria