Umeandika kama webapp au kama desktop with sockets?
Hiyo ni desktop app. Web app means inaoperate via HTTP protocol (common meaning).Hello!
Mdau ku categorize kama web au desktop inakuwa ngumu.
Simply ni Networking app inayo fetch client info na kutuma kwenda kwa server side.
Client side:
Stream Socket class inayo open connection na server side
Server side:
Stream Socket class inayo listen connection request from client side.
So in general iko kama desktop app.
Shukrani.
Hiyo ni desktop app. Web app means inaoperate via HTTP protocol (common meaning).
Umetumia modules gani? Folder Structure yako ikoje? Je ulitumia modules toka ktk system path au App path?
Hizo module umezipakiaje kwenye server?
Unapaswa kuwa clear!
U're Welcome...!Thanks mdau.
Nataka structure ya files likefolder structure:
com.hadoop.server
>>StreamSocketServer.py
com.hadoop.client
>>StreamSocketClient.py
com.hadoop.common
>>CustomParser.py
>>CustomMd5.py
Je module zote ni za standard library au kuna auxilliary/third party?Modules imported:
threading, socket, wmi, hashlib, ...
Ndugu, ku distribute application si inabidi uwe ume build tayari ndio u distribute? Sasa hiyo site si inaelezea building a.k.a package na distribution?
Thans
U're Welcome...!
Nataka structure ya files like
C:/xxx/yy.py hapo sijaelewa kabisa na notation zako za Java ndio kabisaa 🙂
Je module zote ni za standard library au kuna auxilliary/third party?
Inategemeana na aina ya app. Kuna modules (like PySQlite au MySQLdb) au bare app au Pakaged (windows and Py2exe).
Hiyo tutorial ingawa sijaisoma yote inaonesha kabisa ni packaging ya modules ili ku share na wengine.
Just upload the files and run them..!
[COLOR=#333333]folder structure:[/COLOR]
[COLOR=#333333]com.hadoop.server[/COLOR]
[COLOR=#333333]>>StreamSocketServer.py[/COLOR]
[COLOR=#333333]com.hadoop.client[/COLOR]
[COLOR=#333333]>>StreamSocketClient.py[/COLOR]
[COLOR=#333333]com.hadoop.common[/COLOR]
[COLOR=#333333]>>CustomParser.py[/COLOR]
[COLOR=#333333]>>CustomMd5.py[/COLOR]