Msaada wa Program za Kutengeneza Matangazo!!

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,502
Reaction score
6,460
Habari wana JF!!

Nimekuwa ni mpenzi wa kujifunza kutengeza matangazo sana, hasa matangazo ya magazeti na mabango ingawa nimekuwa nikitumia zaidi Publisher (Offfice) lakini haitoi vitu vya kupendeza kwa sana.

Ombi langu kama kuna mtu anajua program yoyote ninayoweza kutumia kutengeneza matangazo mazuri kwa kuchanganya picha, maandishi na mambo mengine anielekeze niitafute au kama anaweza kunitumia setup yake pia nitashukuru zaidi.

Ni matarajio yangu mtanisaidia wakuu

Nawasilisha.
 
Kutengeneza matangazo mazuri ni creativity, ambayo inatoka ubongoni. Photoshop ndio itakayokuwezesha kuhamisha idea yako kichwani ili sisi tuione....
Goodluck on that.
 
Kuna program nyingi tu.
1. Photoshop CS 6
2. Illustrator CS 6
3. coreldraw x6
4. Canvas 14
5. Inkscape.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…