wandugu nilikuwa natumia window vista nikaiona kama inanizingua vile, sasa kuna best wangu mmoja kanibadilishia na kuniwekea window 7 ya kimagirini ci unajua tena kibongobongo tunavyopenda felelee ,sasa kila ninapofungua doc ya microsoft word or excel inaniletea kijibox kinachosomeka "microsoft is not activated" sasa waungwana nisaidieni namna ya kuchakachua product key[/QUOTE<BR><BR>WANAJAMVI CHONDECHONDE NIPENI TAFU YA KU ACTIVATE WINDOW 7 , KWANI HIVI SASA NIKIWASHA TU LAPTOP INANILETEA MESSAGE INAYOSOMEKA 'this copy of window is not genuine"<BR><BR>
poa, kuna program/software inaitwa window loader, kama ukiipata inaweza kutatua matatizo yako ya kuactivate windows 7.
kama vipi nitumie mail yako nikutumie hiyo software.
unafanya installation kama kawaida then itakuelekeza ku restart, ukiwaka basi unakuwa umeactivate windows 7 yako