Huwezi kupata Askari hapo kwani inasemekana kuwa Vijana wa KOVA wote wapo KIGAMBONI, KATIKA CHUO CHA MWALIMU NYEYERE kuna mgomo hivyo Askari wanarusha mabomu ya machozi kama hawana akili nzuri.
Labda kwa walio maeneo ya Kigamboni Chuo Cha Mwalimu Nyerere watujuze kinachoendelea huko Kigamboni.