jamii01 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,988 Reaction score 1,437 Aug 9, 2013 #1 Naomba nisaidiwe,laptop yangu screen inakuwa inacheza cheza ina siku ya tatu sasa..nikiiwasha inatulia baada ya mda inanza huo mchezo.shida ni nini na solution yake ni nini naomba nisaidiwe..
Naomba nisaidiwe,laptop yangu screen inakuwa inacheza cheza ina siku ya tatu sasa..nikiiwasha inatulia baada ya mda inanza huo mchezo.shida ni nini na solution yake ni nini naomba nisaidiwe..