Natumia sony bravia smart tv na dish la azam. Kila nikiweka simu yangu on kwenye wifi inaletea sony bravia wifi inaonekana iko na nguvu sana. Naomba msaada wa kujua password maana inahitajika. Msaada wadau.
Hiyo wifi ni special kwa miracast na mirroring mkuu .kama simu yako ina hivo vitu nilivyovitaja waweza share simu yako na tv ukafanya kile kitu ufanyacho kwa simu kionekane kwa tv