Y Yusuph Issa JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 528 Reaction score 82 Jan 26, 2014 #1 mambo vip wadau wa jf kama kichwa cha thread kinavyojieleza nahitaji msaada wapi nitaipata nyimbo ya mirro inayoitwa nibembeleze my boo,mashairi yake inasema nibembeleze kwenye beat ya mazuu jina zuri nitakuita my boo!!!! msaada wana jf
mambo vip wadau wa jf kama kichwa cha thread kinavyojieleza nahitaji msaada wapi nitaipata nyimbo ya mirro inayoitwa nibembeleze my boo,mashairi yake inasema nibembeleze kwenye beat ya mazuu jina zuri nitakuita my boo!!!! msaada wana jf