Msaada wa njia yoyote ile

mohamedidrisa789

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
5,223
22,380
Kuna wakati unatamani kama dunia isingekuwepo na pia unajiuliz Mungu alitengenez dunia ili iweze?.je! Mungu alitengenez dunia ili ashudie jinsi tunavyoteseka?.je! aya mateso ameshindw kabisa kuyafanyia kazi?.kitu kinachonium ktk maish yangu ni pale akili na mawazo na mwili vinaitaji kupata mtu wa kuwa nae katika maish(mke) lakin kulingana njins ya mazingir ya maish ni changamot kubw san.muda mwingine unamua kushilikish wakubw wako ambao unamin kbisa wanauwezo wa kuchanganua mambo ila unashangaa jibu linalotok ni tofauti na mategemeo,weng wanakwambia kuw tafut pes kwanz.kiukweli inanium san kuw nakosa mke kw sabab ya maish yang magum uwa natamani hata nioteshwe ili nimjue mwanamke mweny itaji na upendo wa kweli pasipo kuangalia hali ya maish.ivi ni kweli wapo wanawake wenye itaji la kuw na mume pasipo kuangalia maish ya mume,na kama wapo ni kweli wapo Tanzania hii?.jamani naombeni msaada maana sisi ni kama ndugu.my number 0652868486
 
Ulishaambiwa you will never lose women chasing money but you will lose a lot of money chasing women.
 
Wapo wenye maisha mazuri, wameoa/olewa na wanatamani ndoa zao zivunjike/wanajuta kwa nini walioa/olewa.
Wewe fanyakazi kwa bidii, kuwa na matumizi mazuri ya fedha, wekaza kila senti yako ya ziada, tumia akili yako mpaka mwisho ukimtegemea Mungu. Kawaida Mungu huingilia kati pale tu uwezo wetu wa kibinadamu unapofikia mwisho. kila la heri.
 
Humu ndani ni majanga mtu achululiwe alivyo maana hata eli zinatofautiana bora umeelewa alichoandika basi
 
Pole sn kijana,na hii ccm na baba Jesca naye ndo kaua kabisa huku mtaani sidhani kama vijana tutaoa.Mungu njo.
 
Back
Top Bottom