Habari...
Nina 3G wireless router ndogo ambayo imeunganishwa na computer kama kumi kwenye internet moja hapa mjini.
Je, Kuna software ambayo naweza install ktk computer moja nikaweza kuona data usage ya kila computer? nimejaribu ku-google lkn napata software ambazo inabidi kuinstall ktk kila machine.
ZIADA: nafahamu kuna device zenye uwezo huo lkn sina uwezo wa kununua kwa sasa.