Naomba msaada kwa yeyote anaweza nnisaidia namna unaweza pata ant virus kwa ajili ya PC, au mwenye free keys ambazo znaweza nisaidia.
N:b kuna post pia niliwahi ionaga humu ikiwa na keys za kasperskary kama kuna mwenye kumbukumbu nazo pia anaweza nisadia