Msaada wa namna ya Ku upgrade android version ya simu

Msaada wa namna ya Ku upgrade android version ya simu

philipo mduma

Senior Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
104
Reaction score
54
Nina simu aina ya Samsung galaxy j8+ ila version yake ni 7.1.1 lollipop nataka Ku upgrade android 8.0 Oreo.
 
Ili iweje? Kuna advantages gani unazojua utapata kwa ku upgrade OS? Myself bado mipo kaenye lollipop na maisha yanaenda
 
Ili iweje? Kuna advantages gani unazojua utapata kwa ku upgrade OS? Myself bado mipo kaenye lollipop na maisha yanaenda
faida ambazo naweza kupata ni features mpya pia kuboresha security na kupata vendor support.
 
faida ambazo naweza kupata ni features mpya pia kuboresha security na kupata vendor support.
Kama una madeal unafanya kupitia simu na yanakuingizia hela hadi unakua na wasiwasi na security hapo sawa otherwise acha kujisumbua
 
Ni 7.1.1 nougat sio lollipop, nenda setting -> about -> software update angalia kama watakupa update mpya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom