Msaada wa namna kutengeneza Hyperlink

Unaandika kwaida hilo neno ''BONYEZA HAPA'' halafu una highlight hilo neno kisha una click kwenye alama ya link kisha unaweka hiyo link ambayo unataka mtu akibofya impeleke halafu una bofya okay! Utaona hilo neno linabadilika rangi kuwa Blue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…