Msaada wa nafasi ya kazi

Msaada wa nafasi ya kazi

Jackson jonh

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
46
Reaction score
7
Nina umri wa miaka 30,niko dar, niliishia form 3, kwa ukosefu wa karo, nahitaji kazi itakayoniwezesha kuendesha maisha Yangu

Naweza kusikia kiingereza vizuri na kukiandika japo kuongea kinanisumbua, ila najitahidi kiasi,

Naweza kutumia compyuta,

Kwa yoyote atakaegusha na hili na kuhitaji kunisaidia anaweza kuwasiliana nami kwa 0652993219
 
Back
Top Bottom