M mwasalipa New Member Joined Sep 6, 2018 Posts 3 Reaction score 1 Mar 28, 2019 #1 Habari wana jamvi naamini hapa ni kisiwa cha maarifa naomba msaada Nina mtoto ana miezi mitatu na Sikh u ila anashitukashituka akilala wakati mwingine analia sana je tatizo ni nini naombeni msaada Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana jamvi naamini hapa ni kisiwa cha maarifa naomba msaada Nina mtoto ana miezi mitatu na Sikh u ila anashitukashituka akilala wakati mwingine analia sana je tatizo ni nini naombeni msaada Sent using Jamii Forums mobile app
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,958 Reaction score 70,721 Mar 28, 2019 #2 Mpeleke hosp my dear
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,247 Reaction score 54,778 Mar 28, 2019 #3 Ushauri wangu mpeleke hospital yoyote inayoeleweka uwaeleze madocta A B C - Z kumhusu mtoto. Pole sana na nakutakia mafanikio mazuri
Ushauri wangu mpeleke hospital yoyote inayoeleweka uwaeleze madocta A B C - Z kumhusu mtoto. Pole sana na nakutakia mafanikio mazuri
ChaterMaster JF-Expert Member Joined Aug 17, 2009 Posts 1,623 Reaction score 808 Mar 28, 2019 #4 Ni kawaida mtoto wa umri huo kustuka na kulia kwa mida huo wa usku. Usihofu yanapta hayo akifikisha miez 4 na kuendelea..
Ni kawaida mtoto wa umri huo kustuka na kulia kwa mida huo wa usku. Usihofu yanapta hayo akifikisha miez 4 na kuendelea..