AhsanteUtafanikiwa boy usijali.
Hii nzuri sana,sasa mzigo utakuwa unachukua sokoni au shamba?Salaam wakuu wanaJf. Mimi ni mwanafunzi katika chuo Kikuu Ardhi, mwaka wa tatu. nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kuuza na kupark na kusambaza mbogamboga na matunda, >nimeifanyia tathmini na kuona ni biashara ambayo inahitaji mtaji mdogo na inarudisha mtaji kwa haraka zaidi. Ninatarajia kuifanya biashara hii katika wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam. Ninaomba mtaji huo uwe katika A: mkopo ambao nitaurejesha kwa makubaliano baina yetu ukiwa na riba au pasi na riba, >nitakukabidhi vyeti vyangu vyote kwa kuwa ndiyo dhamana pekee niliyonayo
. B:unipatie mtaji niuzungushe nikulipe kutokana na faida nitakayopata kwa siku ama kwa wiki,
C: unisaidie kuanzisha biashara kisha niikuze na kuanza ya kwangu binafsi huku nikikuachia ile ya mwanzo kuwa yako. <br />
Katika biashara hii nalenga wanajamii wanaonizunguka, watu katika mitandao ya kijamii na wapitaji pia. Uaminifu wangu ni mkubwa. <br
/>Kama una wazo lolote nitalipokea na kwa Wenye nia tafadhali nisaidieni kujikwamua kiuchumi. <
/>Ahsanteni.
baadhi shambani na baadhi sokoni.Hii nzuri sana,sasa mzigo utakuwa unachukua sokoni au shamba?
Kwa sasa unapatikana wapi?...na mchanganuo kwa kifupi umekaaje?..kwa mfano nauli...kodi ya kibanda....kama bidhaa zikiharibika upo tayari kuwauzia wafugaji wa kitimduduz n.k.....wadhamini...manake pesa ina shet'wan mbaya.baadhi shambani na baadhi sokoni.
napatikana Ubungo Msewe, kuna pesa kwa ajili ya meza 35000Kwa sasa unapatikana wapi?...na mchanganuo kwa kifupi umekaaje?..kwa mfano nauli...kodi ya kibanda....kama bidhaa zikiharibika upo tayari kuwauzia wafugaji wa kitimduduz n.k.....wadhamini...manake pesa ina shet'wan mbaya.
bidhaa zikiharibika kuna wafugaji wa bata na nguruwe wanazihitaji.Kwa sasa unapatikana wapi?...na mchanganuo kwa kifupi umekaaje?..kwa mfano nauli...kodi ya kibanda....kama bidhaa zikiharibika upo tayari kuwauzia wafugaji wa kitimduduz n.k.....wadhamini...manake pesa ina shet'wan mbaya.
Kwa wiki ninaweza kupata sh.ngapi isiyokuwa na mikwaruzo?napatikana Ubungo Msewe, kuna pesa kwa ajili ya meza 35000
mzigo nitaanza na wa sokoni Ilala na Buguruni,
baadae katika faida nitatumia kununua mifuko ya kuhifadhia na mahitaji mengineyo
hakuna kodi ya moja kwa moja ila mwenye eneo lake amekubaliana nami nimpe chochote.
kwa siku faida inafikia 15000 —25000 kutegemea na wingi wa bidhaa na upatikanaji wake,Kwa wiki ninaweza kupata sh.ngapi isiyokuwa na mikwaruzo?
Njoo PM, niachie namba yako tufanye biashara..ila tafuta mdhamini au hata kama ni mjumbe/serikali za mtaa inatoshakwa siku faida inafikia 15000 —25000 kutegemea na wingi wa bidhaa na upatikanaji wake,
hivyo kwa wiki inafikia kuanzia 105000 na kuendelea, kama faida
sawa,Njoo PM, niachie namba yako tufanye biashara..ila tafuta mdhamini au hata kama ni mjumbe/serikali za mtaa inatosha
Njoo PM, niachie namba yako tufanye biashara..ila tafuta mdhamini au hata kama ni mjumbe/serikali za mtaa inatosha
Mungu akubariki huko uendapoSalaam wakuu wanaJf. Mimi ni mwanafunzi katika chuo Kikuu Ardhi, mwaka wa tatu. nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kuuza na kupark na kusambaza mbogamboga na matunda, >nimeifanyia tathmini na kuona ni biashara ambayo inahitaji mtaji mdogo na inarudisha mtaji kwa haraka zaidi. Ninatarajia kuifanya biashara hii katika wilaya ya Kinondoni Mkoa wa Dar es salaam. Ninaomba mtaji huo uwe katika A: mkopo ambao nitaurejesha kwa makubaliano baina yetu ukiwa na riba au pasi na riba, >nitakukabidhi vyeti vyangu vyote kwa kuwa ndiyo dhamana pekee niliyonayo
. B:unipatie mtaji niuzungushe nikulipe kutokana na faida nitakayopata kwa siku ama kwa wiki,
C: unisaidie kuanzisha biashara kisha niikuze na kuanza ya kwangu binafsi huku nikikuachia ile ya mwanzo kuwa yako. <br />
Katika biashara hii nalenga wanajamii wanaonizunguka, watu katika mitandao ya kijamii na wapitaji pia. Uaminifu wangu ni mkubwa. <br
/>Kama una wazo lolote nitalipokea na kwa Wenye nia tafadhali nisaidieni kujikwamua kiuchumi. <
/>Ahsanteni.
AminaMungu akubariki huko uendapo