Msaada wa mkopo nafuu

Athuman hamis Juma

New Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
4
Reaction score
1
Naitwa athuman hamis Juma, 24, nime hitimu chuo kikuu cha Dar Es Salaam mwezi July 20,2018
Naomba msaada wa mtaji kiasi cha shilingi million 2 ambacho nitaanza kufanya biashara mwezi huu huu kama njia ya kuinua kipato na kufikia ndoto zangu
Naomba msaada kwa kuwa sina pa kushika nikaweza kupata kiasi hichi
Ni biashara ya viazi mviringo kutoka mkoa wa Mbeya ambapo nina experience na biashara hii kwa muda wa miezi 6 sasa
Nimekwama kwa kukosa mtaji maana nilistisha kulinda taaluma hivyo mtaji ukaisha

Kwa sasa nimepanga riverside, Ubungo

Naomba mtu yeyote mwenye kuguswa na safari yangu hii ya maisha anisaidie msaada huu hata kama kwa riba nafuu au akaniwezesha mtaji wakati huo nikimpa gawio la faida kwa Mwezi na mtaji wake ukiwa pale na mie nikaweza kujikimu

0743439783

Ndugu yangu , Nisaidie

Mwenyezi Mungu kaniwezesha kufikia hatua hii kwenu

Tafadhali, Nisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…