Msaada wa mawazoo nifanyeje???

Msaada wa mawazoo nifanyeje???

Kabayser

Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
78
Reaction score
18
Wakubwa heshimaa zenu Wadogo zangu Habarii ya nyiee!!! Jamanii mimi ni mvulana mwenye miaa kadhaaa , najishugulisha na kazii zilizoo mbele yangu zikiwemoo za kujenga Taifaa sasa nilikuwa naomba msaada kuhusu jambo linalo nisibu!!! Kuna msichana mmoja na mpenda sana tena zaidi ya sana ila yeye bado yu masomoni niki maanisha bado anasoma vidatoo...Janga langu ni hilii nampenda kwa kuwa tayarii hata kumwoaa awe mke wangu na nipo tayarii nimsubiri amalizee vidato vyake ili niweze kukamilisha ndoto yangu yakuwa na mpenzi tena zaidi ya mapendoo ila sasa kwa njinsi alivyoo mzurii na white ileile naogopa hata kumface ni mweleze tatizoo langu , Je?? Wadau wa JF mnanisaidiajee??? naombenii msaasa wenu jamani?????
 
Kabayser
Kama atachukuliwa na mwingine basi haikuwa riziki yako.
Jiamini
+
 
Last edited by a moderator:
Kabayser
Kama atachukuliwa na mwingine basi haikuwa riziki yako.
Jiamini
+
 
Last edited by a moderator:
Duuhh!! yanii hata sijui cha kufanyaa @ Himidini
 
kukaa kimya is not a solution atajuaje kama unampenda.......,

jitoe mdadafulie jinsi unavyompenda
 
Duuhh!! yanii hata sijui cha kufanyaa @ Himidini
Kabayser
Utulivundio njia pekee kwa sasa Japo binti akiwa mzuri tunapenda sana kuwa possessive Hii ni hatari maana wakijua udhaifu huu wanatuendesha wanavyotaka
+
 
Last edited by a moderator:
Mpe namba mzabzab... Ni kijana mzuri sana akusemeshee,
 
Last edited by a moderator:
Asante ndugu ila inanipa shidaa sana japo kuwa naumiaa pasipo yeye kutambua coz ninapo mwelezaa kuwa na mpenda sana huwa ananionaa kama kifalaa flanii Himidini.
Kabayser
Utulivundio njia pekee kwa sasa Japo binti akiwa mzuri tunapenda sana kuwa possessive Hii ni hatari maana wakijua udhaifu huu wanatuendesha wanavyotaka
+
 
Last edited by a moderator:
Tatzoo siyoo kufunguka Tatzoo huwa hanielewii hata kama nataka kumfungukiaa huwa anasema na mzinguaa au na mcheleweshaa kulee aendapoo wiseboy.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom