Ulikuwa umeanza vizuri ila Tatizo kubwa ulishindwa kubadilika - Kurasimisha shughuli zako, Anza upya tena - Fungua Chekechea au Tuition Center na ukiona ni Promising kidogo - Sajili, Tafuta Mkopo + Akiba yako au Partner then Panua kwa Ujenzi na kuongeza Primary then Utakuja Sec. mpaka vyuo ukitaka na ukimaliza bongo unaenda mpaka abroad. Kuwa na subira and Start Small usitake uanze siku hiyo hiyo shule yako iwe kama " Feza Schools "