Msaada wa mawazo tafadhari.

Lukataluko

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
1,345
Reaction score
1,573
Habari za jioni wandugu? natumai mu wa zima wa afya, naomba kusaidiwa mawazo yenu, napenda nisome degree ya ustawi wa jamii kwa sasa nina diploma ya utawala katika serikali za mitaa, kwa wale wanao jua naweza soma chuo gani kinachotoa kozi hii na vigezo vyao ni vipi?


Naombeni michango yenu ya mawazo, nijue pia nikozi ipi ninayopaswa kuisoma ili niwe afisa wa ustawi wa jamii.

Natunguliza shukrani zangu za dhati.
 
Nadhani kuna chuo cha ustawi wa jamii kipo sinza. Kuna kipindi kilifungiwa kudahili ila sasa nadhani kinafanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…