Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,686
- 1,758
Watu wa Mungu habari!
Tangu mwaka 2008 nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu kati kati ya mgongo, nilihangaika sana kusaka tiba, ila mambo bado.
Tangu mwaka Jana nikaanza kuhusi maumivu ya mgongo yanasababisha menu kufa ganzi, kama wiki mbili hivi nikaenda Kairuki, wakanipiga x rays, nikaambiwa nina spursm(sina hakika na spelling).
Nikaambiwa nimekuwa nikikaa vibaya na hata kutumia magodoro ambayo sio, hii imepelekea misuli ya mgongo kuanza kufanya kazi ya uti wa mgongo, yaani kunipa support, na hiyo misuli kwa kuwa imetumika ndivyo sivyo inasababisha maumivu hayo ya meno.
Wamenipa dawa na ushauri wa kubadili godoro na kukaa bila kuinamisha mgongo, lakini naona ngoma bado, na dose nimemaliza.
Naomba mwenye kujua specialized clinic au hospital ambayo naweza pata tiba. Lakini pia mwenye kujua suluhisho haswa la tatizo langu!
Na prefer ambayo inatumia bima( bima yangu no corporate, so hakuna shaka na gharama za matibabu)
Ahsante!