Msaada wa material ya shule kwa O level na A level

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Wanabodi kwanza poleni kwa majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa, nimejitokeza mbele yenu kuomba msaada wa kupata material ya shule za sekondari(O'leval na Advanced), ya aina yoyote uliyonayo, pia kwa mwenye link ya kupata vitabu vya bure pia anisaidie.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote mtakaonipatia ushirikiano.
 
Umekosea jukwaa mkuu..., au uikua unamaanisha ni mapenzi, mahusiano urafiki na shule...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umekosea jukwaa mkuu..., au uikua unamaanisha ni mapenzi, mahusiano urafiki na shule...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sijakosea nimeona huku ndo rahisi kuwapata vijana.
 
Njoo PM nitakupa contacts za vijana wana Tuition center yao Ubungo na pia wana material mengi kwa olevel na A level ni pesa yako tu.
 
tHL app ina materials yote ya Primary na Secondary.
Jinsi ya ku-install tHL app
---------------------------
1.Kwa simu Online version Nenda play store/window store SERACH tHL kisha install. 2. OFFLINE version (for Secondary Schools) Nenda www.thlappstore.co.tz kisha download. Kwenye hiyo site video ya installation ipo hapo (Fuata hiyo video STEP BY STEP). 3. Kwa computer download hapa tHL app ina Scholarships, Notes form I - VI na Ukurasa wa Jamii wenye makala zinazoeleza namna ya kuachana na Msongo wa mawazo na maelezo ya kuinstall kwenye computer haya hapa instructions .

Maelekezo zaidi
---------------
Contacts Office: 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038 - Upewe maelekezo.
 
mkuu ubarikiwe sana, ngoja nijaribu nikikwama nitakusitua.
 
Njoo PM nitakupa contacts za vijana wana Tuition center yao Ubungo na pia wana material mengi kwa olevel na A level ni pesa yako tu.
sawa mkuu, nitakucheki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…