Msaada wa maswali yanayo ulizwa interview za NMB

Msaada wa maswali yanayo ulizwa interview za NMB

jeremiahy

Member
Joined
Oct 7, 2015
Posts
42
Reaction score
23
samahan wakuu.nmeitwa kwenye interview ya written .kwa kazi ya bank teller southzone nmb tafathali wenye kujua aina ya maswali ambayo huwa wana kawaida ya kuulza!! naomba msaada kwa wanaojua!!.natangulza shukran!.
 
Walipotoa nafasi mbona hukuwashirikisha wenzio?
 
maswal yao ni ya kupima IQ yako zaid....hesabu zipo za kawaidaa mnooo.....juaa mambo ya kupata interest na vitu km hvyoi
 
Duh, inamaana washachuja woote yaani. Sasa mtoa hoja vipi wamekucontact kwa email au simu au kuna list imetolewa?
 
Back
Top Bottom