frank omary
Member
- Jan 18, 2019
- 39
- 9
Masada kwa maombi ya ajira kwa TFS wameweka limiti ya umri miaka 25 kwa upande wangu nina umri wa miaka 26 ila inatimia mpaka 03 NOVEMBER je? naweza omba ajira hii ila Kwa upande WA vigezo vingine vyoote ninanvyo.