zegamba180 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 820 Reaction score 544 Oct 10, 2017 #1 Habari za majukumu wandugu? Nategemea kumjengea bibi yangu kaburi mwisho wa mwezi huu, naomba msaada wa maneno mazuri ya kuandika katika msalaba(hii ya kisasa kipande cha jiwe). Ahsanteni kwa msaada
Habari za majukumu wandugu? Nategemea kumjengea bibi yangu kaburi mwisho wa mwezi huu, naomba msaada wa maneno mazuri ya kuandika katika msalaba(hii ya kisasa kipande cha jiwe). Ahsanteni kwa msaada
Liwagu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 5,874 Reaction score 7,146 Oct 10, 2017 #2 Kwani hujui jinalake
Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,250 Reaction score 2,870 Oct 10, 2017 #3 RIP BIBI
Bahati furaha JF-Expert Member Joined Jul 11, 2012 Posts 3,077 Reaction score 1,439 Oct 10, 2017 #4 INRI πππ