Msaada wa majibu ya hili swali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,533
Reaction score
127,536
Je, kutoka kuwa Msemaji wa Serikali na kuwa Katibu wa Wizara ni Kupanda Cheo au ni Kushushwa Cheo? Na naomba Majibu ambayo yatatolewa hapa na Wadau basi Mhariri wa Gazeti la Serikali la Habari Leo ayapitie kwa Umakini mkubwa sana tafadhali.
 
Kapanda.

Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu, Kamishna (kama yupo), Mkurugenzi wa Idara, Naibu Mkurugenzi etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…