Msaada wa mahusiano plz

Mkuu baada ya mechi ulimpa hata buku 5 akanunue vocha au ulimuacha kapa?
 
Wewe naye ni mwanaume? Wanaume hupiga simu tu
 
Kha!
 
Akili yako ni ndogo kuliko huyo mwanafunzi. Hujamuelewa tu unauliza huku?
 
Ukiona hivyo basi ujue kuna pumbafu kaenda kumpiga mechi kiwango cha lami mpaka kakusahau.
 
Mimi miaka yangu 32 na Dgo ana 20 Mkuu,lkn kwa kawaida mtu ukisex nae lazma akugande tu kwann huyu hayuko hivo?
Duh... brother huyo mwanao... aisee...
Hiyo age gap... itakufanya uweke bifu na jamuhuri.
 

NYINYI FORM TWO NGOJENI MATOKEO YENU YAJE,
UTAPORUDIA DARASA NDIPO UTAACHA KUPOST PUMBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…