Naomba kuuliza ndugu.. Hivi ukiwa unatumia WhatsApp number ya mtandao wa simu wa Tanzania labda tigo au voda alafu ukasafiri kwenda nchini Afrika kusini.. Je utakuwa na uwezo wa kutumia namba ileile katika WhatsApp ukiwa nchini Afrika kusini?

Inawezekana bila shida. Kwa kifupi ni kama uwe unatumia whatsapp kwa namba ya tigo lakini kwenye simu yako umeweka line ya voda. Sooo hakuna shida. Ilimradi uwe na access ya internet tu. Wether ni WiFi au Mobile network