Habari wana jf nimeitwa kwenye interview trc chang'ombe workshop.. nimefikia ubungo riverside, naombeni mwenye kupaelewa napanda gari la wapi na nashuka wapi mpaka nifike hapo workshop za shirika la reli chang'ombe? Ahsanten sana

panda gari za temeke -mbezi au mbAGALA -simu au mbagala mbezi shuka kituo cha usalama au serengeti halafu uulizi TRC workshop ingawa kwa uzoefu wangu kulikuwa na nyumba za relwe sijawahi kusikia TRC workshop