Msaada wa maduka ya samani nzuri Dodoma

lokiyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,953
Reaction score
883
Habarini,

Nimehamia hapa Dodoma natafuta sehemu gani ambayo ninaweza kununua fenicha za ndani nzuri yaani namaanisha quality kwa hapa Dodoma.

Vilevile duka gani wanauza vyombo vya ndani kama vile sahani..rice cooker au friji ambazo ni quality.

Asanteni.
 
Nyerere Square na Saba Saba!.. au ingia One Way Street!!..
 
Salome furniture collection,chako ni chako
 
Kachonge kwa masista....kabla hujamaliza mpunga wa uhamisho
 
Samani nzuri nenda veta dodoma, na kwa maduka ya vifaa vya nyumbani vikiwemo na vya umeme maduka ni mengi mf. Kazimoto electronics ipo barabara ya6, boss electronics ipo one way na kuu street, vile vile kuna maduka mtaa wa mtendeni sikumbuki majina ila ni pale jirani na makao makuu ya LAPF
 
Mkuuu asante sanaaa
 
Kqma ni ke njooo kwangu ilazo nikutunze hivyo vi pesa vyako kanunulie ped
 
Dodoma mfano tuu,,kitu kinachouzwa Dar,Moro,au iringa elfu kumi
Dodoma hicho kitu ni elfu ishirini na tano
Binafsi Mimi sinunui vitu vyangu Dodoma kbsa
 
Dodoma mfano tuu,,kitu kinachouzwa Dar,Moro,au iringa elfu kumi
Dodoma hicho kitu ni elfu ishirini na tano
Binafsi Mimi sinunui vitu vyangu Dodoma kbsa
Aisee mkuu ni kweli aisee...mimi nahic ntaenda dar kununua vitu nasafirisha maana huku gharama aisee
 
Nenda central Police ukifika kuna mhudumu pale kaunta muulizie akuoneshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…