Actualy inategemea na matumizi yako.
Mfano kama vyumba vinne, kila chumba kuna watu wanatumia majiko ya umeme na heaters umeme wa sh elfu45 kuisha ndani ya siku chache ni kawaida sana.
Otherwise, inawezekana either meta ya Luku unayoitumia ni mbovu au kuna tatizo la wiring.
Waone tanesco watakusaidia kwani hilo tatizo ni common sana.