Yo Yo JF-Expert Member May 31, 2008 11,217 1,706 Sep 20, 2011 #1 Hivi ukitaka kumuuliza mama yako kuwa wewe ni mtoto wake wa ngapi kuzaliwa kwa kiingeleza utamuulizaje?
Hivi ukitaka kumuuliza mama yako kuwa wewe ni mtoto wake wa ngapi kuzaliwa kwa kiingeleza utamuulizaje?
Steve Dii JF-Expert Member Jun 25, 2007 6,402 1,254 Sep 20, 2011 #2 https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/63347-in-english.html https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/56544-msaada-kiswahili-kwenda-kiingereza.html https://www.jamiiforums.com/jokes-u...1653-wataalam-wa-lugha-msaidie-babu-yenu.html https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/152084-wakalimani-tusaidieni-hili.html Hooray...!! Search works!!!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/63347-in-english.html https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/56544-msaada-kiswahili-kwenda-kiingereza.html https://www.jamiiforums.com/jokes-u...1653-wataalam-wa-lugha-msaidie-babu-yenu.html https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/152084-wakalimani-tusaidieni-hili.html Hooray...!! Search works!!!
S Senior Bachelor Member Mar 23, 2011 86 32 Sep 25, 2011 #3 RaisiWaPemba said: Hivi ukitaka kumuuliza mama yako kuwa wewe ni mtoto wake wa ngapi kuzaliwa kwa kiingeleza utamuulizaje? Click to expand... Na utamuuliza ili nini? Kwani huwezi kuhesabu ndugu zako ukajua? Ina maana wewe ni kilaza kiasi hicho hadi mama akuambie wewe ni mwanae wa ngapi? Swali hilo halina mantiki. Na limeshajibiwa sana hapa jf. scrap!
RaisiWaPemba said: Hivi ukitaka kumuuliza mama yako kuwa wewe ni mtoto wake wa ngapi kuzaliwa kwa kiingeleza utamuulizaje? Click to expand... Na utamuuliza ili nini? Kwani huwezi kuhesabu ndugu zako ukajua? Ina maana wewe ni kilaza kiasi hicho hadi mama akuambie wewe ni mwanae wa ngapi? Swali hilo halina mantiki. Na limeshajibiwa sana hapa jf. scrap!
Dio JF-Expert Member Feb 8, 2011 1,274 158 Sep 25, 2011 #4 Chukua hzo lınk hapo juu utapata jıbu.