illegal migrant JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 1,277 Reaction score 1,121 Jan 16, 2014 #1 Maiti hiyo ama maiti huyo
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,898 Jan 16, 2014 #3 Maiti hiyo
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 Jan 16, 2014 #5 Maiti hiyo ni neno sahihi zaidi, huyo itatumika kama utakuwa unataja marehemu, yaani marehemu huyo
Makamee JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,201 Jan 16, 2014 #7 A na B yote majibu sahihi
K KEFA ODAO Member Joined Sep 6, 2013 Posts 20 Reaction score 4 Jan 16, 2014 #8 illegal migrant said: Maiti hiyo ama maiti huyo Click to expand... Neno lililosahihi ni MAITI HII. Kwa sababu, thamani ya binadamu inatoweka anapofariki. Maiti haina tena umuhimu wala msaada kwa watu wazima. (Mf. takataka hii)
illegal migrant said: Maiti hiyo ama maiti huyo Click to expand... Neno lililosahihi ni MAITI HII. Kwa sababu, thamani ya binadamu inatoweka anapofariki. Maiti haina tena umuhimu wala msaada kwa watu wazima. (Mf. takataka hii)
hajjmakwato JF-Expert Member Joined Jun 4, 2013 Posts 233 Reaction score 156 Jan 16, 2014 #9 Horseshoe Arch said: Maiti hiyo ni neno sahihi zaidi, huyo itatumika kama utakuwa unataja marehemu, yaani marehemu huyo Click to expand... Maiti huyo ndo sahihi km utskuwa umesoma Ngeli na upatanisho wa kisarufi.
Horseshoe Arch said: Maiti hiyo ni neno sahihi zaidi, huyo itatumika kama utakuwa unataja marehemu, yaani marehemu huyo Click to expand... Maiti huyo ndo sahihi km utskuwa umesoma Ngeli na upatanisho wa kisarufi.
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,599 Reaction score 2,243 Jan 16, 2014 #11 illegal migrant said: Maiti hiyo ama maiti huyo Click to expand... Maiti na Iti huwa naona bado panautata in desgn flan hivi
illegal migrant said: Maiti hiyo ama maiti huyo Click to expand... Maiti na Iti huwa naona bado panautata in desgn flan hivi
Price JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 1,502 Reaction score 922 Jan 16, 2014 #12 Na mm msaada hapo hapo.... Mtoto wangu ni jinsia ya kike au mtoto wangu ni jinsi ya kike...
K kingkiss Member Joined Oct 4, 2013 Posts 12 Reaction score 0 Jan 16, 2014 #13 Mtoto wangu ni.jinsia ya kike ndio neno la kiswahili kwasababu jinsi ni.muonekano kimaana lakin jinsia ni aina
Mtoto wangu ni.jinsia ya kike ndio neno la kiswahili kwasababu jinsi ni.muonekano kimaana lakin jinsia ni aina