Ndugu, naomba aliye na hizo product keys anipe kwani nimepigwa na aliyenifanyia software installation, kasema kaweka kumbe hazina hiyo hivyo zina demand ili zioperate.

Asante wadau.