koz ya maabara... sana sana fizikia na chemistry ....serikalini weng wanaajiriwa kama matechnician kwnye shule za sekondar, viwandan, tbs n. k... bachelor wanaeza soma lab tech na biotechnology ya sua na nyngne nyngne kadhaa