Msaada wa kuweza kufanya degree

natanguliza shukraan nipo na washkaji hivi walimaliza kidato cha nne 2014,walipata D2 wakasoma foundation ,certificate na diploma hawa wanafunzi watafanya vipi?degree mana wamesoma bila vigezo lakini wanna JF
Degree yeyote ile Minimum qualification entry ni D4 exclude masomo ya Dini.La mwisho ume wrong Jukwaa mkuu humu mahanjumati tu hii mada omba mode waipeleke kule Education Forums.
 
G.P.A 3 and above wanakukubali but uwe na Pass 4 kwenye O'level yako
 
G.P.A 3 and above wanakukubali but uwe na Pass 4 kwenye O'level yako
we c umeambiwa hawana vigezo.. kwa ufupi watarudi walipo rukia kwanza utarudi kutafuta vigezo halaf utaendelea na certificate then diploma baadae yaaan baadae utaenda degree. daaah tz yetu ya ajab kweli yaaan ...
 
natanguliza shukraan nipo na washkaji hivi walimaliza kidato cha nne 2014,walipata D2 wakasoma foundation ,certificate na diploma hawa wanafunzi watafanya vipi?degree mana wamesoma bila vigezo lakini wanna JF
TCU Admission guide 2018/19 inasema ili ufikiriwe kudahiliwa chuo kikuu hapa Tanzania unatakiwa uwe na

Yaani bila D4 au Zaidi F4 baba amesema hakuna kwenda CHUO, labda ufanye Foundation ya OPEN au RPL ndiyo milango inaweza kufunguliwa. Waliopitia VETA level III wanaweza kukubaliwa na D chini ya 4 lakini wawe na ufaulu wa hiyo level 3, certificate (Level 4 and 5) na Diploma GPA 3 level 6.
 
Degree yeyote ile Minimum qualification entry ni D4 exclude masomo ya Dini.La mwisho ume wrong Jukwaa mkuu humu mahanjumati tu hii mada omba mode waipeleke kule Education Forums.
Education forum zipo ngapi kwani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…