Nimepewa bitcoin address,naitaji kudhibitisha malipo,ila sielewi namna gani ya kuituma,mwenye uelewa na bitcoins anisaidie,ntakulipa nikifanisha transfer
Ni Pm nikutumie hiyo address

Wewe unaizalau,ila mimi imeniingizia laki 8,
unajua value ya bitcoin?
Nilikuwa nimechelewa,saivi huniambii kitu,unapata free bitcoin kwa mchezo mdogo tu