samilakadunda JF-Expert Member Joined Oct 13, 2011 Posts 1,780 Reaction score 360 Feb 14, 2017 #1 Wataalamu bisaidieni laptop window 7, imebadirika rangi na kuwa nyeusi, naomba msaada wa kuirudisha katika haliya awali,. Happy valentine jf members
Wataalamu bisaidieni laptop window 7, imebadirika rangi na kuwa nyeusi, naomba msaada wa kuirudisha katika haliya awali,. Happy valentine jf members
July Fourth JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 2,240 Reaction score 795 Feb 14, 2017 #2 Tafuta mtu anaejua kupiga window akusaidie kuweka ambayo tayari ishakuwa activated.. Wengi wamekaa kimya bse hawajui waanzie wapi kukusaidia.. inabidi ifanyike fresh installation
Tafuta mtu anaejua kupiga window akusaidie kuweka ambayo tayari ishakuwa activated.. Wengi wamekaa kimya bse hawajui waanzie wapi kukusaidia.. inabidi ifanyike fresh installation
samilakadunda JF-Expert Member Joined Oct 13, 2011 Posts 1,780 Reaction score 360 Feb 14, 2017 Thread starter #3 July Fourth said: Tafuta mtu anaejua kupiga window akusaidie kuweka ambayo tayari ishakuwa activated.. Wengi wamekaa kimya bse hawajui waanzie wapi kukusaidia.. inabidi ifanyike fresh installation Click to expand... Asante kwa jibu lako, ila kuna program moja huwa ibatumika ila siikumbuki vizuri
July Fourth said: Tafuta mtu anaejua kupiga window akusaidie kuweka ambayo tayari ishakuwa activated.. Wengi wamekaa kimya bse hawajui waanzie wapi kukusaidia.. inabidi ifanyike fresh installation Click to expand... Asante kwa jibu lako, ila kuna program moja huwa ibatumika ila siikumbuki vizuri
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 8,092 Reaction score 12,816 Feb 15, 2017 #4 Njoo pm
Senator Hans JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 599 Reaction score 377 Feb 15, 2017 #5 samilakadunda said: Wataalamu bisaidieni laptop window 7, imebadirika rangi na kuwa nyeusi, naomba msaada wa kuirudisha katika haliya awali,. Happy valentine jf members Click to expand... Uko sehem gan!!
samilakadunda said: Wataalamu bisaidieni laptop window 7, imebadirika rangi na kuwa nyeusi, naomba msaada wa kuirudisha katika haliya awali,. Happy valentine jf members Click to expand... Uko sehem gan!!
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 8,092 Reaction score 12,816 Feb 15, 2017 #6 Haijalishi uko wapi, tatizo hili haliwezi kutatuliwa hivihivi unless otherwise uwe unajua kupiga windows
Haijalishi uko wapi, tatizo hili haliwezi kutatuliwa hivihivi unless otherwise uwe unajua kupiga windows
S Saimony JF-Expert Member Joined Nov 7, 2015 Posts 423 Reaction score 481 Feb 15, 2017 #7 samilakadunda said: Wataalamu bisaidieni laptop window 7, imebadirika rangi na kuwa nyeusi, naomba msaada wa kuirudisha katika haliya awali,. Happy valentine jf members Click to expand... hapo unamaanisha wallpaper imepotea? ukicheki kwenye kona kulia chini kuna ka ujumbe kuhusu genuine !? kuna njia kama tatu! 1 , kutumia software 2, ku unistall update fulani 3 , ku remove file fulani embu nicheki 0743002239 nikusaidie huwa sifiki huku mara nyingi niko busy na kazi
samilakadunda said: Wataalamu bisaidieni laptop window 7, imebadirika rangi na kuwa nyeusi, naomba msaada wa kuirudisha katika haliya awali,. Happy valentine jf members Click to expand... hapo unamaanisha wallpaper imepotea? ukicheki kwenye kona kulia chini kuna ka ujumbe kuhusu genuine !? kuna njia kama tatu! 1 , kutumia software 2, ku unistall update fulani 3 , ku remove file fulani embu nicheki 0743002239 nikusaidie huwa sifiki huku mara nyingi niko busy na kazi
zipompa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,370 Reaction score 27,035 Feb 15, 2017 #8 ingia youtube kuna maelezo ya kutosha mkuu jinsi ya ku update window
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 8,092 Reaction score 12,816 Feb 15, 2017 #9 Hapo anatakiwa a activate.