Nimeenda kwenye stationary kwaajili ya kuomba mkopo bodi ya MIKOPO HESLB sasa tumeanza hatuaa wakanambia kuwa wamemaliza ... Sasa nimeingia kwenye akaunti yangu nimekuta pako kama Hivyo kwenye picha...hapo chini.
Je hapo kweli wameshamaliza kuniombea mkopo? Au kuna hatua nyingine? Kama zipo..naombeni mnielekeze nimalizie jamaniiiiii..
###kama hujui usikoment pls!